Sunday 16 November 2014

WORLD TOUR FINALS: DJOKOVIC AMTOA NISHIKORI


Novak Djokovic alifanikiwa kumchapa Kei Nishikori kutoka Japan kwenye nusu fainali ya michuano ya mabingwa wa tennis ya World Tour Finals...Djokovic alishinda 6-1 3-6 6-0 na alipata tabu kidogo kisaikolojia kutokana na mashabiki kumkejeli kidogo alipopata double fault lakini aliweza kufanya vizuri sana seti ya mwisho na kushinda mechi...



Djokovic sasa atakutana na Roger Federer kwenye fainali leo usiku kwenye mida ya saa 5 usiku...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment