Wednesday 12 November 2014

BBC AFRICAN FOOTBALLER OF THE YEAR 2014: MAJINA YAMETOKA


Majina ya wachezaji hodari kutoka Africa yametoka tayari kwa kushindana kupata taji la mchezaji bora Africa...Yaya Toure yuko ndani ya list kwa mara ya 6 mfululizo akiwa pamoja na Pierre-Emerick AubameyangVincent EnyeamaGervinho na Yacine Brahimi...Mshindi atachaguliwa kwa kura za mashabiki ambazo mwisho ni Jumatatu, November 24 na mshindi kutangazwa December 1...Unaweza ukapiga kura mtandaoni hapa...Bofya hapa upate habari zaidi.        

No comments:

Post a Comment