Thursday 20 November 2014

F1: JULES BIANCHI ATOKA KWENYE COMA


Dereva wa Murrusia aliepata ajali mbaya sana Jules Bianchi ameamka kutoka kwenye coma...Statement waliotoa wazazi wa Bianchi wamesema ametoka kwenye coma na sasa anapumua bila kusaidiwa...Zimepita karibu wiki 7 sasa toka ajali hiyo mbaya huko Suzuka Japan na hii ni hatua kubwa sana katika matibabu ya Bianchi...Bado hali yake si shwari na hajitambui lakini kutoka kwenye coma ni hatua nzuri...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment