Tuesday 18 November 2014

NBA: LA LAKERS BADO HOI


Kobe Bryant aliibuka na point 44 lakini walichapwa tena na Warriors 136-115...Timu ya Laker haijafanya vizuri mwaka huu na imeshinda mechi 1 tu kati ya mechi 10...Kwenye mechi dhidi ya Warriors timu nzima ilizembea hasa Carlos Boozer na Jeremy Lin...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment