Daniel Sturrige ambae ni majeruhi aliumia toka mwezi wa 8 na bado atakuwa nje mpaka November 23...Stricker huyo wa Liverpool atakosa mechi muhimu ya Real Madrid, Newcastle na Chelsea...Ni pigo kubwa kwa Liverpool ambao bado hawajaweza kukaa sawa na kuziba pengo la Suarez...Bofya hapa upate hbari zaidi.
Friday, 31 October 2014
EPL: STURRIDGE HATOCHEZA GAME DHIDI YA REAL MADRID, NEWCASTLE NA CHELSEA
Daniel Sturrige ambae ni majeruhi aliumia toka mwezi wa 8 na bado atakuwa nje mpaka November 23...Stricker huyo wa Liverpool atakosa mechi muhimu ya Real Madrid, Newcastle na Chelsea...Ni pigo kubwa kwa Liverpool ambao bado hawajaweza kukaa sawa na kuziba pengo la Suarez...Bofya hapa upate hbari zaidi.
VPL: AZAM WATINGA MTWARA KUIKABILI NDANDA FC
Azam FC wako tayari kuikabili Ndanda FC kesho kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona...Kikosi cha Azam kitakuwa pungufu kutokana na wachezaji 2 kuwa majeruhi na mmoja alipata matatizo ya kifamilia na hajarudi kutoka Ivory Coast...Meneja wa Azam Jemadari Said Kazumari amesema kikosi ni kikubwa kwahiyo wako fit na baada ya game na Ndanda FC watacheza mechi ya kirafiki na Kariakoo FC mjini Lindi...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA
Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
---|---|---|---|---|
No movement1 | Chelsea | 9 | 15 | 23 |
No movement2 | Southampton | 9 | 15 | 19 |
No movement3 | Man City | 9 | 9 | 17 |
No movement4 | West Ham | 9 | 5 | 16 |
No movement5 | Arsenal | 9 | 4 | 14 |
No movement6 | Swansea | 9 | 3 | 14 |
No movement7 | Liverpool | 9 | 1 | 14 |
No movement8 | Man Utd | 9 | 3 | 13 |
No movement9 | Everton | 9 | 2 | 12 |
No movement10 | Hull | 9 | 0 | 11 |
No movement11 | Tottenham | 9 | -2 | 11 |
No movement12 | Stoke | 9 | -2 | 11 |
No movement13 | West Brom | 9 | -1 | 10 |
No movement14 | Newcastle | 9 | -5 | 10 |
No movement15 | Aston Villa | 9 | -10 | 10 |
No movement16 | Crystal Palace | 9 | -3 | 9 |
No movement17 | Leicester | 9 | -4 | 9 |
No movement18 | Sunderland | 9 | -9 | 8 |
No movement19 | QPR | 9 | -10 | 7 |
No movement20 | Burnley | 9 | -11 | 4 |
EPL: WEEKEND FIXTURES (GMT)
SAT 1 NOV 2014 - PREMIER LEAGUE
- NewcastlevLiverpool12:45
- ArsenalvBurnley15:00
- ChelseavQPR15:00
- EvertonvSwansea15:00
- HullvSouthampton15:00
- LeicestervWest Brom15:00
- StokevWest Ham15:00
- Man CityvMan Utd13:30
- Aston VillavTottenham16:00
Thursday, 30 October 2014
BOXING: MIAKA 40 IMEPITA TOKA PAMBANO ILILILO CHANGAMSHA DUNIA LA 'THE RUMBLE IN THE JUNGLE'
The Rumble in the Jungle ilikuwa pambano la boxing la kihistoria lililofanyika nchini Zaire (DR Congo) mwaka 1974.
BMW MASTERS: ROUND YA 1 YAONGOZWA NA ALEXANDER LEVY
Mfaransa Alexander Levy anaongoza round ya kwanza ya BMW Masters huko Shanghai...Levy aliongoza kwa -7 na birdies 7 akifuatiwa na Romain Wattel -6...Mabingwa wengine wa golf Ian Poulter na justin Rose hawajanza vizuri labda round za mbele watakaa sawa...Bofya hapa upate habari zaidi.
LEAGUE CUP: MAN CITY YACHAPWA NA NEWCASTLE
FIFA WORLD CUP: URUSI YATOA NEMBO YA WORLD CU 2018
Urusi imezindua nembo ya World Cup 2018 ndani ya International Space Station...Nembo hiyo imejumuisha historia na mafanikio ya nchi...
Nembo hiyo ilionyeshwa nje ya jengo kubwa la Bolshoi Theater huko Moscow...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 29 October 2014
NBA: ROOKIE WA LAKERS JULIUS RANDLE AVUNJA MGUU
Madaktari walisema alivunja tibia...Kobe Bryant alibaki akitingisha kichwa na kusikitika...Lakers walipoteza hiyo game dhidi ya Huston Rockets 108-90...Bofya hapa upate habari zaidi.
LEAGUE CUP: CHELSEA YATOLEWA JASHO
Tuesday, 28 October 2014
RWANDA NATIONAL FOOTBALL LEAGUE: AZAM TV NA TELE 10 WAPAMBANA
Azam TV na kikundi cha makampuni kujilikanacho kama Tele 10 wanapabana ili waweze kurusha ligi ya Rwanda live...Shirikisho la soka la Rwanda bado liko kwenye mazungumzo na wamesema wanahitaji kampuni ambayo itwasaidia kujazia budget ya ligi na kuongeza udhamini...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 27 October 2014
ROCK CITY MARATHON: JOSEPH PANGA AIBUKA MSHINDI
Rock City Marathon ya 6 ni shughuli kubwa ya kuvutia utalii wa ndani iliandaliwa na Capital Plus International wakishirikiana na NSSF na Mwanza Hotel...Bofya hapa upate habari zaidi.
BAFANA BAFANA: CAPTAIN NA KIPA WA BAFANA SENZO MEYIWA AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI
Habari zinazoingia kutoka Afrika ya Kusini ni za masikitiko makubwa kutokana na kupoteza maisha kwa captain na kipa wa timu ya taifa ya Afrika ya Kusini Bafana Bafana Senzo Meyiwa...Senzo Meyiwa ambae pia ni kipa wa timu maafuru sana Orlando Pirates alipigwa risasi nyumbani kwa rafiki yake wa kike wakati akijaribu kupambana na majambazi waliovamia nyumba ya rafiki huyo...Ndani ya masaa 24 toka alipoichezea timu yake iliyoshinda 4-1 dhidi ya Ajax Cape Town captain alipoteza maisha yake...Polisi huko Afrika ya Kusini wamesema tukio hilo lilifanyika katika township ya Vosloorus maili 20 kutoka Jozi...Meyiwa alifariki alipofikishwa tu hospitali...Orlando Pirates wamesema wataongea na waandishi wa habari leo kuhusiana na kifo cha mchezaji wao...Max Sports na wadau wote wanaopenda mpira tumepokea habari hizi kwa masikitiko makubwa sana...Pumzika kwa amani caaptain...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: MANCHESTER UNITED YACHOMOA MWISHONI
Robin van Persie ndie aliyewaokoa Manchester United dakika za mwisho kabisa za majeruhi jana usiku na kufanya uwanja mzima wa Old Trafford kuamka na kushangilia sana...Chelsea walionekana kuwa ndio washindi baada ya Didier Drogba kupachika bao dakika ya 53 na kucheza mpira safi kuliko Man U...Drogba anapata bao kwa mara ya 1 toka March 2012...Sasa Chelsea wako mbele kwa points 4 wakifuatiwa na Southampton...Chelsea ndio timu pekee ambayo haijafungwa msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA
Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
---|---|---|---|---|
No movement1 | Chelsea | 9 | 15 | 23 |
No movement2 | Southampton | 9 | 15 | 19 |
No movement3 | Man City | 9 | 9 | 17 |
No movement4 | West Ham | 9 | 5 | 16 |
No movement5 | Arsenal | 9 | 4 | 14 |
No movement6 | Swansea | 9 | 3 | 14 |
No movement7 | Liverpool | 9 | 1 | 14 |
No movement8 | Man Utd | 9 | 3 | 13 |
Moving up9 | Everton | 9 | 2 | 12 |
Moving down10 | Hull | 9 | 0 | 11 |
Moving down11 | Tottenham | 9 | -2 | 11 |
Moving down12 | Stoke | 9 | -2 | 11 |
Moving down13 | West Brom | 9 | -1 | 10 |
Moving up14 | Newcastle | 9 | -5 | 10 |
Moving down15 | Aston Villa | 8 | -8 | 10 |
Moving down16 | Crystal Palace | 9 | -3 | 9 |
Moving down17 | Leicester | 9 | -4 | 9 |
Moving down18 | Sunderland | 9 | -9 | 8 |
No movement19 | Burnley | 9 | -11 | 4 |
No movement20 | QPR | 8 | -12 | 4 |
Subscribe to:
Posts (Atom)