Wednesday 3 August 2016

WAYNE ROONEY: MECHI YA KIHISANI YA WAYNE ROONEY NA EVERTON KUONYESHWA LIVE KWA MARA YA KWANZA FACEBOOK


Mechi ya kihisani ambayo mapato yake yatasaidia watu wasiojiweza ya Wayne Rooney akiwa na Manchester United na Everton itarushwa live kwa mara ya kwanza na facebook...Mechi hiyo itachezwa leo na unaweza kuiangalia kupitia website ya Manchester United au kwenye site ya facebook...ni miaka 12 toka Rooney atoke Everton...Ni mara ya kwanza timu mbili za premier league kuonyeshwa live kwenye mtandao wa facebook...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment