Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 3 August 2016
NEW YORK JETS: QUARTERBACK RYAN FITZPATRICK AMESAINI MKATABA WA MWAKA 1 WA $12 MILIONI
Quarterback wa timu ya New York Jets, Ryan Fitzpatrick, amekubali offer mpya na amesaini mkataba wa $12 milioni kwa mwaka 1...Nyongeza ya $3 milioni itakuwepo badae katika kama incentives kwa hiyo kwa ujumla mkataba ni wa $15 milioni...Offer ya kwanza ilikuwa $9 milioni na ikaongezwa mpaka $12 milioni...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment