Monday 8 August 2016

RIO PARALYMPICS 2016: TIMU YA RUSSIA YA WALEMAVU YAZUIWA KUSHIRIKI OLYMPICS


Timu ya Russia ya walemavu imezuiwa kushiriki Olympics kutokana na tuhuma za rushwa na utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu....Kamati ya Olympics ya Walemavu (International Paralympic Committee - IPC) wamethibitisha kuzuiwa kwa timu ya Russia...Russia wamesema watapinga uamuzi huo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment