Thursday 4 August 2016

MANCHESTER CITY FC: WINGER GABRIEL JESUS NDANI YA CITY AKITOKEA PALMEIRAS


Manchester City wameimarisha winga kwa kumchukua forward Gabriel Jesus kutoka Palmeiras...Dau laki ni pounds milioni 27 na nyongeza ya vitu vingine...City wamesema Gabriel ni kifaa hatari sana South America na wameweza kumwahi kwani Barcelona walikuwa wanamtaka sana winger huyu...Gabriel alichakuliwa kuwa mchezaji bora mpya kwenye ligi za Brail na pia yuko kwenye squad ya Rio Olympics...


Huyu dogo aliongoza kuwa mfungaji bora Serie A huko Brazil...Alipata mabao 26 kati ya mechi 67 za Palmeira...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment