Thursday 4 August 2016

BELGIUM: ROBERTO MARTINEZ KOCHA MPYA BELGIUM


Kocha wa zamani wa Wigan,Swansea na Everton amechaguliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Belgium...Martinez anajaza nafasi ya Marc Wilmots aliyeondoka mwezi uliopita...FA ya Belgium wamesema wamefurahi kumpata mtu wa uhakika mapema...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment