Thursday 1 May 2014

CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YAKOSA BASI LAKUPAKI


Chelsea jana usiku ilikosa basi lakupaki na matokeo yake walichapwa na Atletico Madrid...Chelsea wametolewa kwenye hayo mashindano baada ya kuzudiwa na Atletico ingawa ndio walioanza kuona lango baada ya Torres kutingisha wavu dakika ya 36...Muda mfupi kabla ya half-time Adrian alipachika bao...Baada ya Etoo kufanya foul Diego Costa alifunga penalty dakika ya 60...Turan aliwazamisha kabisa Chelsea dakika ya 72...Atletico wanaingia kwenye fainali toka mwaka 1972...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment