Monday 5 May 2014

JUDO: TIMU YA TANZANIA YAFANYA VIZURI


Timu ya Judo ya Tanzania imefanya vizuri sana kwenye mashindanoya Afrika Mashariki na Kati ya Judo huko Nairobi, Kenya...Tanzania imeibuka mshindi wa hayo mashindano...Timu huyo ilipata medali za dhahabu 3, medali ya silver 1 na bronze 4...Max Sports inawapa hongera sana kwa ushindi huu...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment