Monday 5 May 2014

EPL: SUAREZ ASHINDA TUZO NYINGINE


Luis Suarez ameshinda tuzo nyingine ya mwanasoka bora kutoka kwa waandishi wa masuala ya mpira (Football Writer's Association)...Suarez amekuwa mfungaji bora msimu huu na hii ni tuzo ya pili kuchukua kutokana na mchango wake katika soka mwaka huu...Waandishi 300 wamepigia kura wachezaji 10 na Suarez aliibuka kidedea...Bofya uspata habari zaidi...

No comments:

Post a Comment