Monday 5 May 2014

MOROCCO: ZAKI KOCHA MPYA


Morocco Football Federation imetangaza kumchukua mchezaji wa zamani Badou Zaki kuwa kocha wa timu ya taifa...Zaki ambae alikuwa mchezaji mahiri kama International goal keeper alichezea timu yake mwaka 1984 kwenye Olympics za Marekani na World Cup ya Mexico miaka miwili iliyifuata sasa anachukua uskani kutoka kwa kocha wa muda Benabicha katika harakati za kujiandaa kuwa wenyeji wa African Cup of Nations mwakani...

Mustapha Haji ambaye alikuwa midfielder mkali wa Morocco atakuwa msaidizi wa Zaki...Bofya upate habari zaidi..

No comments:

Post a Comment