Thursday 8 May 2014

EPL: MAN CITY UBINGWA WANUKUA BAADA YA KUICHAPA VILLA


Manchester City wako karibu sana kuchukua ubingwa wa Premiership mwaka huu baada ya kuigaragaza vibaya sana Aston Villa jana usiku...Man City wanahitaji kutofungwa na West Ham United jumapili ijayo ili wachukue ubingwa...Sasa wako mbele ya Livepool kwa pointi 2 na hii ni kwasababu Liverpool walishemsha walivyo achia magoli na kutoka sare 3-3 na Crystal Palace...Mambo yalianza ovyo kipindi cha kwanza hapo Etihad Stadium kwa Man City, walishambuliwa sana na counter attacks ziliwachosha City lakini kipindi cha pili Dzeko aliwaokoa kwa kupachika bao ambalo cross yake ya chini chini ilipigwa na Pablo Zabaleta...Dzeko alivyopachika la 2 mambo yakabadilika...Sub Stevan Jovetic alifunga dakika ya 89 na bado kulikuwa na muda wa Yaya Toure kufunga goli zuri sana la 4 ambalo ni goli la 100 la Yaya Toure...Bofua hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment