Monday 5 May 2014

EPL: CHELSEA WASHIKWA SHATI NA NORWICH


Norwich jana uliisimamisha Chelsea katika harakati zake za kuwania ubingwa...Mechi iliisha 0-0 katika uwanja wa Chelsea...Terry aliwakosakosa Norwich mara kadhaa na kugonga mwamba lakini walishindwa kuwafunga Norwich..Norwich walinyimwa penalty ya wazi.....Haya matokeo ni mabaya kwa Chelsea na mazuri kwa Norwich kwasababu Chelsea sasa watakosa ubingwa iwapo Liverpool watashinda mechi yao ya leo na Crystal Palace pia Norwich sasa ndoto yao yakubaki Premiership ina mwanga maana wanahitaji sana hizo points...Bofya upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment