Dominique Blake mkimbiaji mzoefu na mkali kutoka Jamaica alisimamishwa kukimbia baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu na kupewa adhabu ya kifungo cha miaka 6 sasa hiyo adhabu imepunguzwa hadi miaka 4 1/2 na mahakama ya usulihishi wa michezo (Court of Arbitration of Sport - CAS)...Blake ambaye ana miaka 26 alikutwa na methylhexanamine ndani ya mwili wake katika Olympics za 2012...
No comments:
Post a Comment