Wednesday 7 May 2014

NBA: KEVIN DURANT NI MVP


Kevin Durant amechaguliwa kuwa Most Valuable Player wa NBA mwaka huu...Kevin Durant alipigiwa kura na kupata kura 119 na kumshinda LeBron James wa Miami Heat na Blake Griffin wa LA Clippers...Durant ameshukuru sana hasa wachezaji wenzake, mashabiki na mama yake mzazi huko...Akiongea akiwa Edmont, Oklahoma anasema mama yake mzani ndio MVP wa ukweli kwasababu amewatoa mtaani, amewavalisha na alikuwa anawawekea chakula mezani, bila mama asingekua hapo alipo sasa...Durant ambae ana average ya pointi 32.0, assist 7.4 na blocks 5.5 amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo wa mfungaji bora na MVP kwa wakati mmoja toka Allen Iverson alivyofanya hivyo mwaka 2000-01...Bofya hapa upate habari zaidi...



No comments:

Post a Comment