Tuesday 6 May 2014

NBA: CHRIS PAUL AIZAMISHA OKC


Katika ungwe ya pili ya michuano mikali ya NBA Playoffs LA Clippers imeichapa Oklahoma City game yao ya kwanza...Chris Paul kila akiruka anapachika 3 points alipata 3-points 8 na carrier high 32 (point ambazo alikuwa hajawahi kufunga) na kuionyesha OKC kwamba pamoja na mmiliki kutimuliwa sasa wamekuja kucheza kikapu...Durant wa OKC alipata pointi 25 na Russell Westbrook pointi 29...Mambo yalikuwa kama hivi:

1234T
LAC39303518122
OKC25272627105

Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment