Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Thursday, 4 August 2016
VODACOM PREMIER LEAGUE: VODA WAGAWA VIFAA KWA TIMU ZA PREMIERSHIP
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imetoa vifaa mbalimbali kwa timu zote zinazoshiriki premiership...Vodacom ndio wadhamimi wakuu wa ligi kuu Tanzania bara...Thamani ya vifaa vyote ni 514,208,400/-...
Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliani cha Vodacom, Nandi Mwiyombella, wamegawa fifaa hivyo kuhakikisha ligi inaendelea vizuri...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment