Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 2 August 2016
F1: MAMA WA MKE WA BOSS WA F1 BERNIE ECCLESTONE AMEOKOLEWA NA POLISI
Hapo nyuma Max Sports iliandika kuhusu kukamatwa mateka mama wa mke wa boss wa F1 Bernie Ecclestone huko Brazil...huyo mama ameokolewa na polisi na hao wahusika wamekamatwa...
Polisi wamesema hakuna senti iliyotolewa ili huyo mama aachiwe huru...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment