Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 3 August 2016
F1: FERRARI LEGEND CHRIS AMON AFARIKI DUNIA
Dereva mkali ambaye hajawahi kushinda ubingwa wa F1, Chris Amon, amefariki dunia...
Amon alikuwa legend wa timu ya Ferrari kati miaka ya 1960 na 1970...Alikuwa kati ya madereva wakali wa New Zealand wa F1 enzi hizo...Wengine walikuwa Danny Hulme na Bruce McLaren...
Amon amefariki akiwa na miaka 73 kwa Cancer...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment