Monday 8 August 2016

ARSENAL FC: MANCHESTER CITY YACHAPWA NA ARSENAL MECHI YA MWISHO KABLA MSIMU KUANZA



Arsenal iliibuka mshindi wa mechi ya kirafiki dhidi ya Manchester City ya Pep Guardiola 3-2...Manchester City ndio walioanza kuliona lango la Arsenal kupitia Sergio Aguero na baada ya hapo ilikuwa mabao ya Arsenal kupitia Alex Iwobi, Theo Walcott na Chuba Akpom...Man City wlipata bao lingine kupitia Kelechi Ihenacho...Sehemu nyingine Chelsea walishinda mechi yao dhidi ya Weder Bremen na Liverpool walichapwa 4-0 na Mainz...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment