Thursday 4 August 2016

ALEX SONG: RUBIN KAZAN YAMCHUKUA SONG


Midfielder wa zamani wa Cameroon na Arsenal, Alex Song, ameingia FC Rubin Kazan kwa free transfer...Song akitokea Barcelona ilikuwa aende Kazan kwa mkopo lakini ameamua kuhama kimoja...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment