Sunday, 30 November 2014

BOXING: TYSON FURY AMNYAMAZISHA CHISORA


Uzito wa juu wa Europe na England umepta bingwa katika pambano lililofanyika katika ukumbi wa ExCel Arena jijini London...Tyson Fury alifanikiwa kumtwanga Dereck Chisora katika pambano ambalo liliishia round ya 10...Mbele ya umati wa watu 20,000 Fury aliweza kumweka sawa Chisora hasa baada ya round ya 2 alipotumia Southpaw...Hawa wa 2 walishakutana 2011 na Fury aliweza kupata points zaidi...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: WACHEZAJI WA VILLA WAFURAHI KEANE KUONDOKA


Baada ya kutaarifiwa kuwa Roy Kean ameondoka Aston Villa wachezaji walishangilia sana...Kean ameondoka Villa akisema anahitaji muda wa kukaa na familia yake...Boss wa Villa Paul Lambert amefurahi kuondoka kwa Kean lakini mashabiki wanataka Lambert ndio aondoke Villa baada ya timu kutofanya vizuri...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: DAVID BECKHAM AUMIA KWENYE AJALI


Star wa mpira wa miguu wa zamani na captain wa zamani wa England David Beckham ameumia kwenye ajali baada ya kutoka kumchumua mtoto wake Brooklyn kwenye uwanja wa mazoezi wa Arsenal...


Beckham alipokuwa anatoka kwenye sehemu ya maegesho ya magari aligongana na gari nyingine iliyokuwa inatoka upande wa 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: YESTERDAY'S RESULTS

Friday, 28 November 2014

EPL: ARSENAL KUMPOTEZA WILSHERE MIEZI 3


Jack Wilshere atakuwa nje kwa muda usiopungua wiki 3...Wilshere aliumia katika gaame dhidi ya Manchester United alipokwatuliwa na beki ya United Paddy McNair...Wilshere alimwona daktari na akafanyiwa upasuaji kwenye ankle Jumanne...Habari hii sio nzuri kwa Arsenal kwani kwa sasa wanapungukiwa na wachezaji kutokana na majeraha mengi...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 27 November 2014

TAIFA CUP: TEMEKE WAENDELEA KUFANYA MAMBO


Michuano ya kimkoa ya basketball yanayojulikana kama Taifa Cup yanaendelea vizuri huku Temeke wakiendelea kuichapa vibaya Arusha 77-29 Jamhuri Stadium huko Dodoma...Mechi yao ya mwanzo Jumanne waliichapa Dodoma 40-18...Wako Group A na Dodoma, Kagera na Arusha...Bofya hapa upate habari zaidi.

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL YAMCHAPA BORTMUND


Arsenal imefanikiwa kuingia kwenye mtoano baada ya kuichapa Burussia Dortmund mabao 2-0...Bao la 1 lilipatikana sekunde 75 tu kutoka kwa Yaya Sanogo ambae alianza kabla ya Podolski na la 2 kutoka kwa Alexis Sanches dakika ya 57 kipindi cha 2...Baada ya kutoka 3-3 na Anderlecht Arsene Wenger alisema kila mtu ana uhuru wa kuongea na kulalamika lakini game dhidi ya Dortmund lazima timu na mashabiki wawe kitu kimoja...Dortmund tayari wamefuzu round ya mtoano kwani ni game ya 1 kufungwa...Arsenal wanaingia kwenye mtoano kwa mara ya 15 mfululizo...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 26 November 2014

NBA: CAVS YASHINDA


LeBron James ameisaidi timu yake kurudi kwenye ushindi baada ya kuchapwa maraa 4 mfululizo...Cleveland Cavaliers waliweza kuwagaragaza Orlando Magic 106-74...LeBron aliweza kupata points 29 na kati ya hizo 16 kipindi cha kwanza...Bofya hapa upate matokeo mengine ya ligi ya NBA

CHAMPIONS LEAGUE: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Atl Madrid479
No movement2Olympiakos4-16
No movement3Juventus416
No movement4Malmö FF4-73
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Real Madrid4912
No movement2FC Basel406
No movement3Liverpool4-43
No movement4Ludo Razgd4-53
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Bayer Levkn449
No movement2Monaco405
No movement3Zenit St P4-14
No movement4Benfica4-34
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Bor Dortmd41212
No movement2Arsenal427
No movement3Anderlecht4-42
No movement4Galatasaray4-101
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Bayern Mun5912
No movement2Roma5-45
No movement3CSKA5-45
No movement4Man City5-15
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Paris St G5513
No movement2Barcelona5812
No movement3Ajax5-62
No movement4Apoel Nic5-71
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea51211
No movement2Sporting527
No movement3Schalke5-65
No movement4NK Maribor5-83
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1FC Porto51213
No movement2Shakt Donsk5118
No movement3Ath Bilbao5-34
No movement4BATE Bor5-203