Saturday 26 April 2014

WORLD SNOOKER CHAMPIONSHIP: O'SULLIVAN AINGIA ROBO FAINALI


Bingwa wa mwaka jana wa Snooker na mmoja wa mabingwa wa mchezo wa Snooker duniani, Ronnie O'Sullivan, ameingia robo fainali baada ya kutoa Joe Perry ambae ni mwingereza mwenzake 13-11.


Mechi hizi za Snoker zinakuwa 25 na mwanzo Ronnie alikuwa ameachwa nyuma lakini alijitahidi na kushinda framezamwishoni...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment