Wednesday 9 April 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI


Chelsea FC jana ilifanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano mikali ya ligi ya mabingwa...Chelsea ambayo iliingia kwenye uwanja ikiwa chini kwa aggregate ya 1-3 haikuwa na wakati rahisi kwani PSG ni timu kali na ngumu na walihitaji kutoa draw tu ili wapite lakini haikuwa hivyo...Chelsea walikuja kucheza mpira na ndicho walichofanya pamoja na counter attacks za hapa na pale walicheza mpira mzuri na kuwakabili PSG vizuri...Demba Ba ambaye toka utotoni alikuwa anaipenda PSG lakini jana aliwaonyesha PSG kwamba wanautaka ubingwa baada ya goli lake kusawazisha aggregate 3-3 na kupita kutokana na goli la ugenini...Bofya hapa upate mamboz...

No comments:

Post a Comment