Wednesday 9 April 2014

HISTORIA: TUMKUMBUKE JAY-JAY OKOCHA


Jay Jay Okocha mzaliwa wa Enugu State huko Nigeria enzi zake alikuwa mchezaji machachari sana kutokana na chenga zake kali balaa...
Jay-Jay amewahi kuchezea timu nyingi tu zikiwemo Eintracht Frankfurt ambako alikutana na Ghanaian International Tony Yeboah na baadae mjerumani Thomas Doll, Fenerbace na pia huko akaibuka na uraia wa Uturuki.

Paris St-Germain (PSG) walimyakua kwa millioni 24 dollars mwaka 1998 na wakati huo alikuwa mwafrika expensive kuliko wote.

Bolton Wanderers mwaka 2002 Jay-Jay alisaidia sana Bolton kutoshuka daraja kipindi hicho, Qatar alicheza msimu mmoja tu na akahamia Hull City huko ndipo alipo staafia soka...


No comments:

Post a Comment