Friday 11 April 2014

VPL: AZAM YACHUNGULIA UBINGWA


Azam FC sasa wako karibu sana kunyakua ubingwa baada ya kuichapa Ruvu Shoting Stars mabao 3-0...Mwaikimba na wenzake Himid na Kipre ndio wafungaji wa game hiyo iliyochezewa uwanja wa Mabatini, Mlandizi...Azam wanahitaji pointi 3 tu kwenye game mbili zilizobakia kunyakua ubingwa...Azam wana pointi 56 za game 24 na wanaongoza kwa pointi 4...Sasa timu kongwe za Yanga na Simba zimepata mpinzani wapinzani wakubwa akiwemo Mbeya City ni hii ni kitu kizuri katika maendeleo ya soka nchini...ushindani ni kitu kizuri na cha kukuza viwango...

No comments:

Post a Comment