Thursday 3 April 2014

LA LIGA: BARCA WAFUNGIWA KUNUNUA WACHEZAJI



Barcelona imefungiwa na FIFA kusajili wachezaji wa kimataifa chini ya miaka 18 kwa misimu milii yaani mpaka 2015 miezi ya kati...Barcelona walipewa hiyo faini kutokana na kukiuka taratibu za FIFA za usajili...Wamegongwa na faini ya paunds za Uingereza 305,000....Pia shirikisho la mpira wa miguu la Spain RFEF pia limekutwa hatiani na makosa kama hayo...Barca wataruhusiwa kuuza wachezaji na pia wanatarajiwa kununua kipa mpya kutokana na Victor Valdes kumaliza muda wa mkataba...Habari zaidi hapa...

No comments:

Post a Comment