Thursday 3 April 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MANCHESTER UNITED WAIZUIA MASHINE YA MJERUMANI


Manchester United waliweza kumsimamisha  Bayern Munich huko katika uwanja wa nyumbani...Bayern kipindi cha cha kwanza walishambulia sana na kucheza nusu uwanza kipindi chote cha kwanza huku Man U wakiwa hoi ulimi nje wanaomba maji kwenye chaki pembeni...Ingawa walikataliwa goli mwanzoni ambalo 'Shaba Ranks' alipachika wavuni Man U walibadilika kipindi cha pili walivyo fanya subs za Kagawa na Hernandes...Man walishangaza mashabiki walivyo wabadilikia wajerumani na kucheza kama Man ya zamani na hatimaye Vidic kufunga goli zuri la kichwa...Pia 'Shaba Ranks alikosa goli la wazi wakati amebakia yeye na kipa akataka kuupiga mpira juu yake kipa akashtukia dili akapangua...Fellaini tu ndio alikuwa 'bwege' katika mechi na alionekana hajui anafanya nini huko ndani ilimradi anakimbia kimbia tu...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment