Wednesday 16 April 2014

EPL: MANCHESTER UNITED WAMWEKEA DAU TONI KROOS


Manchester United wamemwekea dau la Pounds za Uingereza 260,000 kwa wiki ili atoke Bayern Munich ahamie Manchester...Toni ni midfielder safi kabisa na bado kijana lakini David Moyes amekiri itakuwa vigumu sana Bayern kumwachia huyu dogo...Rooney ndio analipwa pesa nyingi kuliko wote kwenye kikosi cha Man U analipwa Pounds za Uingereza 300,000...Kutokana na Manchester kuwa ovyo msimu huu wanahitaji kununua sana ili kuimarisha kikosi ambacho kina wazee wengi...Soma zaidi hapa...

No comments:

Post a Comment