Monday 7 April 2014

F1: HAMILTON ACHUKUA BAHRAIN GP

Lewis Hamilton akipambana na Nico Rosberg

Lewis Hamilton aibuka mshindi huko Bahrain...Hamilton alimshinda Nico Rosberg ambaye wako timu moja na pia baada ya Nico kuanza kwenye grid...Mwishoni Nico alijaribu sana kumfukuza Hamilton hasa laps 10 za mwisho na baada ya gari safety kurudi ndani lakini Hamilton alitumia akili na utundu kumzuia asimpite hasa ukizingatia Nico alikuwa na matairi mazuri zaidi ambayo ni matairi laini 'soft tyre' lakini hakufua dafu kwa mkali Hamilton...Hii pia imewezekana kutokana na Mercedes Benz kusema haitaingilia ushindani wa ndani ya timu hiyo...Pata mambo zaidi hapa... 

No comments:

Post a Comment