Saturday 19 April 2014

F1: RICCIARDO AONGOZA MBIO ZA AWALI


Ricciardo wa timu ya Red Bull alimpita Filipe Massa wa timu ya Williamskwa sekunde 0.534 na kuongoza mbio za awali kabla ya mashindano ya F1 huko China kesho...Massa alifuatiwa na Romain Grosjean na Nico Hulkengerg kutoka Force India...


No comments:

Post a Comment