Thursday 10 April 2014

GOLF: LUGALO OPEN WEEKEND HII

Ladies Pro Champ Angel Eaton kutaka Tanzania

Michuano mikali ya mchezo wa Golf hapa Dar es Salaam ya Lugalo Open yanatarajiwa kuanza Jumamosi hii...Michuano hii ambayo imeandaliwa na Tanzania Golf union inatarajiwa kuvuta wachezaji wakali kutoka kona zote za nchi...Mabingwa waliopita wote wanatarajiwa kucheza...Kama Angel Eaton na Christopher Kisoma wanatarajiwa kucheza...Michuano hii ilitakiwa kuanza mapema lakini kutokana na kukosa wadhamini walisogeza mbele tarehe na sasa National Housing Corporation (NHC) watadhamini mashindanio haya na zawadi nyingi zitatolewa...Mashindano haya yatahusisha mashimo 36 na watatumia uwanja wa TPDF Lugalo...

No comments:

Post a Comment