Monday 7 April 2014

VPL: YANGA YAICHAPA JKT RUVU


Mabingwa watetezi Yanga bado wanafukuzia ubingwa wa ligi baada ya kuirarua JKT Ruvu 5-1...Sasa Yanga wako chini ya Azam kwa pointi 4 tu...Mechi ilikuwa ya upande mmoja na haikuwa rahisi kwa JKT kufurukuta mbele ya Yanga ila kuna wakati Iddi Mbaga ambaye aliwahi kuichezea Yanga aligonga  'wood work'...Wafungaji walikuwa Mrisho Ngassa ambae alipata 'hat-trick', Didier Kavumbagu na Hussein Javu...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment