Monday 7 April 2014

2014 STREET WORLD CUP: TANZANIA YAIURARUA MAREKANI 6-1 NA KUTINGA FAINALI


Timu ya watoto wa mtaani walizidi kun'gara katika kombe la dunia la watoto wa mtaani huko Brazil...


Waiichapa timu ya wamarekani 6-1 na kuingia fainali ya michuano hiyo.

Hii sasa ni mara ya pili timu ya watoto kuingia fainali.

Bao la Tanzania lilipatikana mwanzo wa kipindi cha kwanza kutoka kwa kijana Michael na kufanya ngome ya wamarekani kusambaratika balaa.

Tanzania waanza soka la ukweli na kupata magoli mengine matatu kabla ya half-time...Bofya hapa upate mamboz za Brazil....

No comments:

Post a Comment