Saturday 19 April 2014

F1: HAMILTON KUONGOZA GRID YA GP YA UCHINA


Lewis Hamilton aliweza kukimbiza gari na kupata racing time nzuri na kuibuka mshindi katika mbio za awali huko China...Hamilton alikuwa anaendesha gari yake kwenye racing track yenye maji na haikuwa rahisi lakini alijitahidi na kushika nafasi ya kwanza...Hapo awali Ricciardo alikuwa anaongoza katika mbio za awali ambazo zinafanyika mara 3...Daniel Ricciardo aliibuka wa pili na aliachwa kwa takriban nusu sekunde hivi...Wa tatu alikuwa Sebastian Vettel akufuatiwa na Nico Rosberg na Fernando Alonzo wa Ferrari...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment