Thursday 3 April 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YACHAPWA


Chelsea wameanza vibaya michuano ya robo fainali baada ya kuchapwa 3-1 na Paris St-Germain...PSG walianza kuona lango mapema kwenye dakika ya 3 baada ya Lavezzi kuunganisha mkwaju wa moja kwa moja...Chelsea wakacheza vizuri tu na badae wakazawadiwa penalty ambayo ilitokana na foul aliyofanyiwa Oscar....Hazzard alipachika wavuni dakika ya 27...Mida ya baadae David Luiz alijichanganya na kujifunga na kuwapa PSG advantage kubwa...Javier Pastore mwishoni kabisa akapachika bao...Bofya hapa upate mamboz...

No comments:

Post a Comment