Sunday 6 April 2014

EPL: WENGER VS. MARTINEZ LEO


Arsene Wenger na timu yake ya Arsenal wanaingia uwanjani na timu ya Roberto Martinez, Everton, leo jioni katika mechi muhimu sana kwa timu zote mbili...Kuna wakati Everton ilikuwa ya 7 na Arsenal inaongoza ligi lakini Everton wamejitahidi sana na sasa wanapiga hodi nafasi ya 4...everton wako chini ya Arsenal kwa pointi 4 na game 1 nyuma...Msikose kucheki hii game kali leo saa 11 jioni...

No comments:

Post a Comment