Wednesday 16 April 2014

EPL: ARSENAL YARUDI NAFASI YA 4


Arsenal na West Ham walianza kwa kukumbuka janga la Hillsborough lililotokea miaka 25 iliyopita...Kwa heshima wakikaa kimya kwa dakika moja...Arsenal ilifanikiwa kurudi nasasi ya 4 baada ya kuichapa West Ham United mabao 3-1...Nafasi ya 4 muhimu sana kwani huiweka timu kwenye nasafi ya kucheza Champions League...Arsenal ilianza kufungwa lakini baada ya dakika kama 2 Podolski alirudisha goli...Baada ya hapo Arsenal walicheza mpira amzuri na Giroud aliiweka Arsenal mbele kwa goli zuri....Podolski akamalizia kwenye dakika ya 78 hivi...Arsenal sasa hawatakiwi kupoteza mechi maana Everton wako nyuma wanaitaka hiyo nafasi ya 4...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment