Tuesday 8 April 2014

MAZOEZI: VIONGOZI WETU WENGINE WAKO MAKINI NA AFYA ZAO

Afya ni kitu muhimu sana...Bila kuwa na afya nzuri mambo mengi yatakwama na pia gharama za maisha zitaongezeka maradufu....Viongozi wetu wengi wanapenda kuimarisha afya zao kwa kufanya mazoezi na kupata mlo wenye virutubisho vingi vya mwili...Max Sports kwa hisani ya mdau mkubwa wa blog ya Max Sports ambaye ni Mbunge wa Rungwe Mashariki, Mark Mwandosya, ameweza kutupatia pictures za wabunge wenzake na yeye pia wakifanya mazoezi huko mjini Dodoma...Max Sports inatoa msisitizo kwa wadau wote wa Max Sports na wa michezo kwa ujumla tufanye mazoezi hata kama umetingwa sana tembea tu...

Mheshimiwa Celina Kombani, Waziri wa Nchi Utumishi wa Umma



Mheshimiwa Haji Sereweji

Mjumbe Mark Mwandosya

Mheshimiwa Abubakar Khamis (kulia), Waziri wa Katiba Zanzibar akiwa na wajumbe wenzake

Mheshimiwa Cynthia Hilda Ngoye (kulia) akiwa na wajumbe wenzake

No comments:

Post a Comment