Monday 7 April 2014

2014 STREET WORD CUP: TANZANIA BINGWA WA DUNIA



Max Sports kwa niaba ya wadau wote wa Max Sports na wadau wa michezo kwa ujumla tunafurahi kuwapa habari njema leo...Tanzania imeutwaa ubingwa wa Street World Cup huko Brazil...Tanzania iliichapa Burundi mabao 3-1 katika mechi kali sana....Burundi walikuwa makini lakini mpaka half-time walikuwa chin imabao 2...Watoto hao wa mtaani baada ya game kuisha walienda na kuwapongeza Burundi kwa game zuri na ujirani mwema...Viva soka la Tanzania...Nani anasema Tanzania hatuna vipaji? Ebo! Bofya hapa upate mamboz za Brazil...

No comments:

Post a Comment