Monday 14 April 2014

VPL: AZAM MABINGWA


Azam FC mabingwa kwenye VPL mwaka huu...! Azam wamechukua ubingwa baada ya kuwachapa Mbeya City mabao 2-1katika uwanja wa Sokoine Mbeya...Azam sasa watatuwakilisha kwenye African Champions League wakati Yanga mshindi wa pili watatuwakilisha kwenye CAF Confederation Cup...Mbeya City wamejitahidi sana mwaka huu na kuibuka wa 3 kwenye ligi...Max sports inawapa hongera sana Azam FC kwa kutwaa ubingwa wa premiership...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment