Friday 18 April 2014

LA LIGA: NEYMAR NJE WIKI 4


Barca watampoteza mchezaji wao mkali Neymar kwa wiki 4 kutokana na kuumia kidole cha 4 cha mguu wa kushoto...Club hiyo ilitoa habari hizo jana na pia walisema Jordi Alba nae ameumia mguu na atakuwa nje kwa muda mrefu...Hawa wachezaji watakosa mechi za mwishoni za ligi...Wachezaji hao watakuwa fit kwa World Cup ambayo itaanza June 12...

No comments:

Post a Comment