Thursday 17 April 2014

SPORTS BAR: SPORTS BAR YAANZISHWA MBEZI BEACH

Max Sports inayo furaha yakuwaletea habari njema kama siku zote kwamba kuna Sports Bar mpya imefunguliwa huku Mbezi Beach Dar es Salaam...


Hii ni habari njema kabisa kwasababu wadau wengi wa michezo hawana sehemu nyingi za kwenda kuangalia michezo mbalimbali sasa tumeongezewa kiota kingine kipya kabisa cha kuburudika wakati unaangalia michezo...


Kiota hicho kinapatikana Rainbow Social Club barabara ya Mbezi chini (Mwai Kibaki Rd.) intazamana na Oilcom ya Mbezi chini...Karibu ni wadau wote wa michezo kwenye Sports Bar mupya kabisa!

No comments:

Post a Comment