Wednesday 2 April 2014

GOLF: TIGER WOODS AFANYIWA UPASUAJI


Tiger Woods atakosa mashindano ya Masters huko Augusta Georgia kutokana kufanyiwa upasuaji mgongoni...Hiyo procedure inaitwa 'microdiscectomy' ambayo alifanyiwa jumatatu itambidi afanyiwe kazi ya kupona haraka sana na daktari amesema ataanza kupona kwenye mwezi wa sita katikati na ndipo ataruhusiwa kuanza kucheza golf...Tiger ameomba radhi waandaaji wa mashindano haya makubwa sana ya Masters kwamba hatoweza kuwepo na kucheza...Max Sports tunamuombea apone haraka na arudi kufanya vituz...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment