Saturday 12 April 2014

EPL: ROONEY ATAPUMZISHWA


Rooney anaweza kupumzishwa mpaka mwisho wa msimu kutokana na kuvunjika kidole cha mguu...Rooney alipewa sindano ya maumivu kati ya game Man U waliofungwa na Bayern 3-1 ili aisaidie timu yake lakini pia Moyez aliulizea kwanini anamchezesha mchezaji aliyeumia akasema alipata ushauri wa daktari kwanza...Bofya hapa upate habari zaidi..

No comments:

Post a Comment