Thursday 17 April 2014

COPA DEL RAY: REAL MADRID YACHUKUA KOMBE


Real Madrid jana usiku ilinyakua kombe la Copa del Ray wakicheza dhidi ya wapinzani wao wakubwa Barcelon...El Clasico nyingine hii imewaweka Real kwenye vyombo vya habari vingi na hasa kutokana na Christiano Ronald kutokuwepo Gareth Bale kijana kutoka Wales alibeba mzigo na juhudi zaki zikalipa mwishoni alivyo pachika bao la ushindi...




Mwanzoni Angel Di Maria alipachipa bao mapema na Barca kusawazisha kwa kichwa cha Bartra...Mashabiki na wadau wa mchezo walikuwa wanamlaumu sana Bale kutotoa mchango mkubwa pamoja na kununuliwa kwa bei kubwa sana ya Pound za uingereza millioni 85 lakini amewapatia Real kombe la Copa del Ray ...Bofya hapa usome zaidi

No comments:

Post a Comment