Monday 7 April 2014

EPL: ARSENE WENGER AKUBALI NAFASI YAKE YA NNE IKO HATARINI


Babu wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kwamba nafasi ambayo ameizoea kwa miaka mingi sasa, nafasi ya 4 iko mashakani kuchukuliwa...Amesema Arsenal watapambana kubakia hapo lakini haitakuwa rahisi...Wadau wa mpira na wadau wa Arsenal wanasema Babu Wenger akishindwa kuchukua nafasi ya nne basi itakuwa mwisho wake wa kufundisha club hiyo kubwa sana ya north London...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment